Posts

Showing posts with the label UDAKU

OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE

Image
Ostaz Juma (kushoto) akiwa na mkewe Mariamu na mwanae Hayyat Mariamu Daudi Mtoto Hayyan Juma Ostaz Juma Namusoma Ostaz Juma akiwa Cape of Good Hope Baada  ya usiri wa muda mrefu, bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ameamua kumuweka hadharani mkewe na mototo wake na hivyo kuzima zile tetesi kuwa Ostaz ni msela tu asiye na mke wala mtoto. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Ostaz Juma ameweka picha ya mkewe ajulikanaye kwa jina la Mariamu Daudi au mama Hayyan akiwa pamoja na mtoto wao wa kiume, Hayyan Juma. Sambamba na picha hizo, Ostaz alisindikiza na maneno yasemayo: �For those who didn't know that I have a wife and a kid, let it be known now...kwamba mimi nina mke na mtoto, nampenda sana mke wangu (mary david) na nampenda sana mwanangu hayyan boy hayyan juma. namuomba sana mungu atuhifadhi na maadui wa kibinadamu na wasio jua thamani ya familia ya mtu, eeh mola mjaalie mke wangu maisha marefu na afya na amani ya moyo wake na utulivu, utupe watoto weng...

Hekaheka ya leo inamhusu muigizaji maarufu aliyesingiziwa mtoto. #Hekaheka

Image
Hekaheka ya leo muigizaji maarufu Single Mtambalike maarufu kama Richie, ameelezea hekaheka yake ya kusingiziwa Mtoto na mwanamke kutoka Shinyanga ambaye alifika nyumbani kwake akiwa na mtoto mchanga na kudai ni mtoto wa msanii huyo. Richie amesema wakati huo ndoa yake ilikuwa changa na mke wake alikuwa na mtoto mchanga kitendo ambacho kiliitikisa ndoa yake. Jamaa anasema hakuwahi kumwona mwanamke huyo, hivyo baada ya kukasirishwa na kitendo hicho alijikuta akimpiga mwanamke huyo makofi. 96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga. Hapa unaweza kuisikiliza Hekaheka yote kwa kubonyeza play.

Zawadi Ya Birthday Aliyopewa Wema Sepetu Kutoka Kwa Diamond Platnumz.

Image
  Ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Wema Septu ambaye ni mpenzi a msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Wema amepokea zawadi mbali mbali kutoka kwa marafiki na Familia. Miongoni mwa zawadi zilizomshtua Wema ni kuletewa magari mawili likiwa moja kutoka kwa Diamond. Gari alilopewa Wema kutoka kwa Diamond ni Nissan Murrano Nyeusi na nyingine BMW kutoka kwa mtu ambaye bado hajatajwa. Zawadi imeletwa kwa Wema na mama mzazi wa Diamond Platnumz. #HongeraWema Na HappyBday   mabovu story .com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia  >> Instagram , Twitter Na Facebook

Picha,Huyu Ndio Jamaa Anayesema Atafunga Ndoa Na Dada Yake Diamond �Esma�

Image
Meneja wa wasanii wa Endless Fame Petit Money ameweka wazikuwa taarifa zilizosamba ni za ukweli kuwa anamahusiano na dada yake Diamond Platnumz �Esma Platnumz� . Petit amesema ana mapenzi ya ukweli kwa Esma na kwamba anampango wa kufunga naye ndoa. Petit ameongozea kuwa mpaka sasa Diamond hana tatizo nae kuwa na dada yake. Haya Mapenzi yatadumu ?