Posts

Showing posts with the label LAANA

AIBU...!! MUHUDUMU WA BAA ANASWA AKILIWA URODA ENEO LA KAZI NA MTEJA...TAZAMA HAPA

Image
Muhudumu wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyonya maziwa hadharani mteja wake na kuacha kazi. Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo ambapo awali dada huyo alionekana kukolea kilaji kupita kiasi na kukosa stamala na baadaye kujikuta akifanya upuuzi huo. Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya meneja wake kufika na kushuhudia tukio hilo kisha kumuamuru kuvua jezi za ofisi kisha kuondoka bila kutoa maelezo.

LOVENESS DIVA AZINADI NYETI ZAKE

Image
Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi �Diva� hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake. Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi. �Kuna mtu alikuwa akidai hajawahi kuona miguu yangu iko ikoje na kwamba nimekuwa nikionesha sehemu ya shingo tena kwa upande,leo nimeamua kumfurahisha,�alisema Diva. Sambamba na maneno hayo, mtangazaji huyo alijifotoa picha zilizoocha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake kisha kuziweka kwenye ukurasa huo. Diva ni mtangazaji mwenye sauti ya kimahaba, yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni ambaye watu wengi wamekuwa na hamu ya kumuona jinsi alivyo kwani wamezoea kumsikia redioni tu.