Posts

Showing posts with the label M.MEDIA NEWS

Picha, Mdogo Wake Kim Kardashian Naye Apiga Picha Za Utupu,Zitakuwa Kwenye Hici Kitabu.

Image
Wiki moja iliyopita mke wa rapper Kanye West �Kim Kardashian� alitajwa kuwa mwanamke wa mwaka na jarida la GQ Na alipidi apige picha za utupa kwa ajili ya jarida hilo. Jipya ni kwamba mdogo wake Kim, Kendall Jenner naye amepiga picha kama hizo za utupu chini ya mpiga picha maarufu Russell James zitakazo kuwa kwenye kwenye kitabu cha mpiga picha huyo kiitwacho �Angels�. Fahamu kuwa Kendall anamiaka 18 tu.

Just Got Paid Ilivyofana

Image
Ijumaa wiki iliyopita Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT PAID iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na muziki bomba. Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika shindano la kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa kutembelea tovuti ya www.castlelite.co.tz kujiunga katika droo. Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab, T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE jioni hiyo

Kauli ya Wema Sepetu Baada ya Picha ya Mama Yake Mzazi Kueditiwa na Kuwa Chafu Kama zile za Kina Komba

Image
Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu Dengue ni Team tofauti na ile ya Wema , Ki ukweli Imesikitisha Wengi sana ....Baada ya Watu wengi kulaani hicho kitendo Mwenye Account hiyo ali delete picha lakini akawa imeshasambaa sana kwa watu ... Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu: