Posts

Showing posts with the label Slider

Diamond Platnumz: Nina mtoto mwingine mwanza tofauti na Tiffah.

Image
Hii inaweza ikawa ni habari mpya kutoka kwa Diamond Platnumz, inasemekana ana mtoto mwingine huko mwanza tofauti na Tiffa, hata hivyo inasemekana hata hajawahi kumuona huyo mtoto wake. Alipohojiwa na D�jaro arungu katika kipindi cha Papaso hivi karibuni, Diamond Platnumz amesema � Huyo mwanamke story ilivyokuwa alikuwa ametoka kwenye chumba cha brother Dully akaja kwangu mimi nikafanya yangu, mimi nikarudi huku mtoto akawa ananimbia �ebwana mimi nina mimba�.Basi ilivyokuwa mtoto �bana eeh mimi nina mimba� na mimi nikawa nachezesha nini nikawa namhudumia, huku na huku bahati mbaya nikaanza na demu fulani hivi kwahiyo demu mwenyewe akanimind, nikawa nampigia simu hapokei nikaenda Mwanza kumsakanya huku na huhu nasikia kwao wakanimind nikaonekana kama mimi nazingua�.Siku moja nikaenda nikambanabana �nikamwambia wewe una mtoto� akanikatalia kwasababu aliniambia ile mimba niliitoa nini, kumbe ni muongo. Nikaja nikamchunguza kumbe alikuwa amezaa na mtoto namuambia �nataka basi ...

Kinachoendelea eneo la Mkwajuni baada ya wananchi kufunga barabara..Picha

Image
  Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam , lakini safari hii wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara. Wananchi hao waliamua kuchoma matairi katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati. Hizi ni baadhi ya Picha kutoka eneo la tukio.

NE HEAT SONG- D R C & Candle Vaggy ft Shab love . Pendo langu

Image

Listen/Download | Brand New Single:Shebby love - Wakati Umewadia

Image
  Wimbo wa msanii Shebby love ambao unahamasisha watu kujitokeza kumchagua kiongozi bora atakaye waongoza wananchi wa tanzania na kufanikisha kufika katika maendeleo na kuweka tija kwa taifa kwa ujumla sikiliza alicho kiimba msanii huyu wa bongo fleva hapa sasa.

Hivi ndivyo UKAWA ilivyompokea Mbunge Edward Lowassa Dar es Salaam� (Pichaz)

Image
July 27 2015 Mbunge James Mbatia ambaye ni mmoja ya Viongozi wa juu wa Jumuiya ya Vyama vinavyounda umoja wa UKAWA aliongea maneno haya baada ya Viongozi wote kukaa Kikao na kukubaliana >>>> � Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa  Lowassa  ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani ��  James Mbatia . Viongozi wa UKAWA wamekutana Bahari Beach Dar July 28 2015, wakiwa wameongozana na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa na kuumaliza utata wa maswali mengi kuhusu uamuzi wa Lowassa baada ya jina lake kutopitishwa kwenye Urais CCM. Mbunge Edward Lowassa alitumia muda mfupi tu kuthibitisha kujiunga CHADEMA, na hii ni sehemu ya alichokisema. Mbunge Godbless Lema   Edward Lowassa na mke wake, Mama Regina Lowassa .  Nilinyimwa haki ya Msingi ya kusikilizwa na kujieleza CCM, nitakuwa mnafki kusema nina imani na CCM � #TZALiveUpdates #LowassaCDM � millard ayo (@millardayo) July 28, 2015 Freeman Mbowe na Edward Low...

Picha Kutoka KTMA na washindi waliochukua Tuzo.

Image
  Hii ni orodha nzima ya washindi wa KTMA 2015: Mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume wa mwaka � Alikiba Mwimbaji bora wa kike Bongo Flava ameshinda � Vanessa Mdee Msanii bora wa kiume Taarab � Mzee Yusuph Mwimbaji bora wa kike Taarab � Isha Mashauz Mwimbaji bora wa kiume bendi � Jose Mara Wimbo bora wa mwaka wa muziki wa Taarab � Mapenzi Hayana Dhamana � Isha Mashauzi Wimbo bora wa mwaka � Mwana (Alikiba)) Wimbo bora wa Kiswahili bendi � Walewale (FM Academia) Wimbo bora wa muziki wa R&B � Sisikii (Jux) Wimbo bora wa Hip Hop � Kipi Sijasikia (Professor Jay) Wimbo bora wa Reggae & Dance Hall � Let Them Know (Maua Sama) Rapper bora wa mwaka, bendi � Ferguson Msanii bora wa Hip Hop � Joh Makini Wimbo bora wa Afrika Mashariki � Sura Yako (Sauti Sol) Mtunzi bora wa mwaka, Taarab � Mzee Yusuph Mtunzi bora wa mwaka, Bongo Flava � Alikiba Mtunzi bora wa mwaka, bendi � Jose Mara Msanii bora chipukizi � Baraka Da Prince Mtunzi bora wa mwaka Hip Hop � Joh Makini Bendi bora ya mwaka...