Posts

Showing posts with the label MAJUU

Picha, Rick Ross na tattoo zingine usoni, Meek Mill je,

Image
Rappa Rick Ross na Meek Mill walitembelea mchora tattoo maarufu Unroyal Ink Tattoo Studio ili kuongeza wino kwenye sehemu tofauti kwenye miili yao. Rick ross ameongeza tatto 7 usoni kama Logo ya timu ya kikapu ya Miami Heat na logo ya MMG huku Meek Mil akiweka Logo ya MMG kwenye kiganja cha mkono wake.

Ndani ya miaka sita msanii Missy Elliot amefanikiwa kupunguza mwiliwake na kuwa na muonekano alioutaka kwa muda mrefu.

Image
Ndani ya miaka sita msanii Missy Elliot amefanikiwa kupunguza mwiliwake na kuwa na muonekano alioutaka kwa muda mrefu. Mwaka 2008 Missy aliugua ugonjwa unaosababishwa na mafuta mengi mwilini na toka hapo alianza kuchukua hatua katika kupunguza mafua mwilini.            

Orodha Ya Rappers 10 Waliowahi Kuwasaliti Wake/Wapenzi Wao.

Image
Wiz Khalifa hajawa Rapper wa kwanza kumsaliti mpenzi wake.Inasemekana hii ni kawaida kwa rapper kukamatwa wakisaliti wake na wapenzi wao. Hii list ya wasanii kumi wa Rap waliowahi kuhusishwa na usaliti.   Rapper Wiz Khalifa ameachana na Amber Rose baada ya Wiz kufumaniwa akiwa na mwanamke kitandani. Wanawake hao ni mapacha. Kabla ya Swizz Beatz kuwa na Alicia Keys,aliwahi kutoka na msanii wa rnb  Mashonda, Kwenye barua ndefu aliyoandika Mashonda miaka mitano iliyopita alisema Alicia Keys ndio aliyevunja ndoa yake na Swiz Beats.   Ja Rule alimsaliti Karrine �Superhead� kwenye kitabu alichoandika dada huyu anasema Ja Rule alimsaliti mpaka ilifikia hatua akazoea tu.  K iabu kinaitwa Confessions Of A Video Vixen.   Kim Porter amekuwa akitengana na kurudiana na rapper/mfanya biashara Diddy alisema mwaka 2007 kwenye interview na Essence kuwa usaliti wa Puff daddy na wanawake kama Sarah Chapman na kumpa ujauzito ndio sababu ya kuvunjika kwa mahusiano y...

Picha,Mtoto Wa 50 Cent Alivyojiachia Na Floyd Mayweather

Image
  Mtoto anayeaminika kuwa ni wa 50 Cent Marquise Jackson ameweka picha yake facebook akiwa na Floyd Mayweather ambaye kwa sasa hawaelewani na rapper 50 Cent. Hii sio mara ya kwanza Marquise amefanya kitu kama hichi kumuudhi baba yake, awali Marquise alipiga picha na bidha ya Slowbucks ambayo kampuni hio haina maelewani mazuri na 50 Cent. Picha hio iliambatana na ujumbe uliosema �With Tank and Floyd.� mabovu story .com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia  >> Instagram , Twitter Na Facebook

Picha,Vin Diesel Ameweka Hii Picha Ya Paul Walker Facebook,Wengi Imewagusa.

Image
Mwigizaji Vin Diesel ameweka kwenye facebook picha ya Paul Walker iliyogusa watu na mashabiki wengi duniani. Mpaka sasa picha hii imethibitishwa kuwa ni picha kutoka kwenye filamu ya Fast & Furious 7. Picha hii imeambatana na trailer ya filamu hio. Paul Walker alifariki kwenye ajali ya gari akiwa na miaka 40 mnamo november mwaka jana katikati ya utengenezwaji wa filamu ya saba ya Fast & Furious. mabovu story .com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia  >> Instagram , Twitter Na Facebook