Posts

Showing posts with the label Sex

JE UNAYAFAHAMU MAWAZO YA MWANAMKE PALE ANAPOKUTANA NA H-SOME BOY??... JIONEE HAPA

Image
Kwanza kutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna gari Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo Read more: http://jijiletuleo.blogspot.com/2014/08/je-unayafahamu-mawazo-ya-mwanamke-pale.html#ixzz39hWRv5GE

TAZAMA SEXY PHOTOS ZA DADA YAKE DIAMOND...ESMA DIAMOND PLATNUM

Image
Anaitwa ESMA, dada yake Diamond, Wifi na rafiki yake Wema Sepetu,ni mrembo mwenye mvuto...tazama baadh ya HOT picha zake hapa...

HAYA NDIO MAUTUNDU YA KUFANYA KABLA YA KUSEX

Image
Ndoa ni safari ndefu ambayo inahitaji uvumilivu wa kila namna ili kuhakikisha kila mwanandoa anaifurahia safari hiyo.(Picha kwa hisani ya mitandao) Leo hii ndoa nyingi zimejaa majuto kutokana na wahusika kukosa uvumilivu katika safari hiyo na kuhisi kuwa pengine njia aliyopita siyo sahihi. Majuto ya safari hiyo yanatokana na mambo mengi, miongoni mwa hayo ni lugha mbaya kwa wanandoa, kumiliki visasi mioyoni mwao, kutosameheana, kushindwa kujishusha pindi mmoja anapokosa na kugundua kuwa yeye ndiye chanzo cha tatizo, kutoaminiana katika mahusiano yao ya ndoa, wivu uliopitiliza, kutoheshimiana nk. Safari ya ndoa ili iwe salama na yenye baraka tele, inahitahi kutoyaruhusu hata kidogo niliyoyaelezea hapo juu. Lakini silaha kubwa kuliko yote ni msamaha, suala la kusameheana kwa wanandoa ni dawa tosha ya kuondoa mikosi ya safari ya ndoa iliyojaa kila aina ya vizingiti. Pamoja na hayo jambo lingine ambalo nalo kwa namna moja ama nyingine limechangia kuzifanya ndoa nyi...