Posts

Showing posts with the label WASANII

"Nay wa Mitego Ana Laana ya Picha Zangu za UCHI"....Fatuma Ayubu

Image
  Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu �Bozi� amesema kuwa migogoro yote inayomtokea aliyewahi kuwa mwandani wake, Emmanuel Elibariki �Nay� ni kutokana na laana ya kumsambazia picha zake za utupu. Akiongea  na  mwandishi wetu, Bozi alisema tatizo kubwa lililomkuta Nay kwa mpenzi wake Siwema kumfumania na njemba ni malipo ya kupuuza penzi lake na dhambi kubwa aliyomtendea ya kusambaza picha zake za utupu alizomtumia wakati walipokuwa kwenye uhusiano. �Nilimpenda mno Nay lakini fadhila ya penzi langu akaona anidhalilishe kwa kuanika picha zangu za utupu kwenye mitandao ya kijamii,  jambo linalonisononesha mpaka kesho, naamini yaliyomtokea ni laana yangu anayotembea nayo kwani bado sijamsamehe kwa kitendo kile cha ajabu alichonifanyia,�  alisema Bozi.

Nay wa Mitego: Kama sio Mtoto Wangu Kama Alivyosema Basi Nitamrudisha kwa Baba yake Japo Nitaumia Sana

Image
Rapper Nay wa Mitego amesema amejiandaa kisaikolojia kupokea majibu ya kipimo cha DNA alichopima baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Siwema kugombana naye na kudai mtoto aliyezaa naye si wake. Nay ameiambia Bongo5 kuwa bado zimebaki siku chache ili apewe majibu yake huku akidai kuwa amefanya hivyo ili kuandaa maisha ya mtoto wake ya baadaye. �Mimi ni binadamu nimeshapitia mengi nilikotoka mpaka hapa nilipo na jibu lolote likija nitalikubali,�amesema. �Kama sio mtoto wangu kama alivyosema basi nitamrudisha kwa baba yake japokuwa nitakuwa na maumivu lakini kuna wakati unaohitaji kufanya maamuzi magumu. Mimi sina ugomvi naye sema nimemchukua mwanangu baada ya kuona ana kazi nyingi. Nina imani huyu ni mwanangu hivi vingine vipo tu. Unajua hakuna mtu asiyefahamu kama Siwema ni mpenzi wangu na alivyovifanya kaamua tu na mimi nimeamua kwenda kupima DNA ili kumfanya mwanangu aishi maisha ya amani akikua, atajisikia vibaya akisikia huyo siy baba yako, lakini kama kutakuwa na vielelezo...

Lady Jaydee na Atemi watoa kibao kipya

Image
  Msanii wa Kenya, Atemi na mwanamuziki wa Tanzania Lady Jaydee wametoa kibao kipya kwa jina 'MOYO'. 'Moyo' ni wimbo kuhusu mapenzi ya matukio tofauti . Katika wimbo huu Atemi anasema kuwa haijalishi penzi lina mvuto wa kiasi gani mwishowe bado linasalia kuwa penzi. Wimbo huo uliotungwa na Atemi Oyungu ni 'single' ya kwanza kutoka album yake mpya ya tatu. Wimbo huo umeandaliwa na R-kay ambaye pia aliandaa wimbo mwengine wa Atemi 'Usijali' akiimba na Delvin Savara wa Sauti Sol.

Mtoto mpya amtesa Kim Kardashian

Image
  Mwanamama nguli na nyota wa kipindi cha runinga cha The Keeping Up with the Kardashians,Kim West ambaye ana mtoto mwenye umri wa miezi 21 North West aliyezaa na mumewe Kanye West,imeelezwa na mumewe huyo Kanye ,mkewe hataki chochote katika ulimwengu huu zaidi ya kupata mtoto mwingine ,lakini madaktari wamemuonya anaweza kukabiliwa na hatari kiafya. Katika kipande cha kipindi kinachofuata cha kipindi cha mwanamama huyo ambacho kitarushwa katika runinga ya E� inayojihusisha na masuala ya burudani na huenda kipande hicho kitarushwa mwishoni mwa wiki hii ,kipande hicho kinamuonesha Kim akielezea alichoambiwa na daktari wake kuwa anajaribu kumficha Kanye West anachotakiwa kwenda kufanyiwa na madaktari kuondoa kitu kilichoko kwenye kizazi chake. Na ilipobidi kumkabili mumewe huyo, ambaye ni nguli wa muziki wa tambo,alipomwambia juu ya suala hilo tete, alikubaliana nalo na kumwambia endapo atafanikiwa kupata mtoto wa pili atakuwa wa mwisho kwasababu kondo la uzazi linakua ...