Posts

Showing posts with the label cate-michezo

RIHANNA AKAA MEZANI NA DROGBA KUJADILI TIMU GANI AINUNUE

Image
Rihanna anasemekana kuwa na nia ya dhati kutaka kununua club ya soka ya Uingereza na tayari amezungumza na Didier Drogba ambaye ni rafiki yake wa karibu ili ampe ushauri. Muimbaji huyo mwenye miaka 26 pia amepanga kuanzisha chuo cha michezo nchini kwao Barbados na kisha anapenda kuwa mwenyekiti ama mmiliki wa club kubwa ya Uingereza.  Chanzo kilicho karibu na Rihanna kilidai kuwa awali alidhani muimbaji huyo alikuwa akitania tu kuhusiana na jambo hilo lakini amegundua kuwa yupo serious   Rihanna ni shabiki wa Liverpool. Katika kombe la dunia lililomalizika nchini Brazil, Rihanna alikuwa shabiki mkubwa wa timu mbalimbali zikiwemo Brazil na Ujerumani.

ADEBAYO AONYESHA JEURI YA PESA....HIZI NDIO MALI ZAKE

Image
29 year old Togolese footballer and Tottenham Hotspur forward Emmanuel Adebayor is one of the richest footballers in the world. Emmanuel works hard and knows how to play hard. He has a private jet, a home in Togo, Ghana, UK and a summer house in the US. He has more cars than he probably needs, super bikes, designers wears...and a lifestyle reserved only for the mega rich.

MANCHESTER UNITED YATEMBEZA KICHAPO KWA MADRID,,,,,click

Image
Manchester United's Ashley Young celebrates after scoring the opening goal against Real Madrid at Michigan Stadium. Photograph: Adam Holt/Action Images Louis van Gaal hailed the more than �300,000 fans� Manchester United have already played before in their four games so far on their tour of America as they swept into Monday�s final of the International Champions Cup in Miami against Liverpool. While Van Gaal described the 18-day trip as �preparation� to dampen expectation, this convincing win over Real Madrid also ensures the new manager remains unbeaten. He said: �It�s preparation time. So, also, for the opponents its preparation. You�ve seen [Cristiano] Ronaldo arriving in the 75th minute. We also miss players like [Marouane] Fellaini, [Adnan] Januzaj, [Robin] van Persie � so you cannot say: �OK, so we�ll beat every team.� But of course it�s a very good result for us and it gives confidence to all the players. So we are going the right way I think.� This was before...