Posts

Showing posts with the label AFRICA SOUNDS

New Music: Bracket ft. Diamond & Tiwa Savage � Alive

Image
Kundi la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia rasmi audio ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond Platnmuz. Katika wimbo huo uitwao �Alive� ambao video yake imefanywa wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini, ameshirikishwa pia msanii wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage.

Canada yatoa tamko kuhusiana na shambulio la Bungeni.

Image
Masaa machache baada ya kutokea tukio la shambulizi la risasi katika bunge la Canada lililopelekea mwanajeshi mmoja na askari wa bunge, kuuawa serikali ya Canada imetoa tamko rasmi kuhusiana na tukio hilo. Waziri mkuu wa Canada, Stephern Harper. Akitoa tamko hilo waziri mkuu wa Canada Stephen Harper amesema shambulio hilo �haliitetemeshi� Canada, bali linaiongezea nchi hiyo ujasiri. Rais wa Marekani Barack Obama na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron wamelaani kitendo hicho kwa kukiita ni cha kukiita ni cha �kikatili�, huku wakisisitiza kuwa wakati huu ni wa kuwa macho zaidi kwa kuimarisha ushirikiano baina yao katika kupambana na ugaidi. Cameron ameeleza kuwa tayari kushirikiana na Canada kwa msaada wowote utakaohitajika katika kukabiliana na hali hiyo. Taarifa kutoka shirika la utangazaji nchini Ufaransa RFI linasema bado askari polisi wa kikosi maalum cha usalama wameendelea kulizunguka eneo hilo japo hali ya usalama imeimarika kwa sasa. Canada imesema waliouaw...

Sikiliza Hapa Wimbo Mpya Wa Jux-Sisikii

Image
Baada ya wimbo wake Nitasubiri, hii rekodi yake mpya Jux � Sisikii, Bonyeza play kuisikiliza.    

Diamond achaguliwa katika Tuzo zingine kubwa duniani, MTV Europe Music Awards

Image
Msanii Diamond Platnumz amechaguliwa tena kuwania Tuzo zingine kubwa duniani EMA, (Europe Music Awards) akiwa katika kipengele cha Best African Act. Siku 60 zimebaki kufanyika kwa Tuzo hizo ni muhimu watanzania kutoa sapoti kwa mtanzania mwenzetu kwani anazidi kuipeperusha bendera ya Tanzania. MTV Europe Music Awards zitafanyika   9 November 2014 (9:00 PM CET) Huko   The SSE Hydro ,   Finnieston , Glasgow ,   Scotland ,   United Kingdom

Picha Zilizotoka Mpaka Sasa Za Utengenezwaji Wa Video Ya Young Killer Ft Banana Zorro �Umebadilika�

Image
Video mpya ya rapper Young Killer Ft Banana Zorro�Umebadilika� iliyoanza kufanyiwa shooting mwezi wa nane na director Hefemi Mikoba inategemewa kutoka muda wowote sasa. Hizi picha za utengenezwaji wa video hii ambazo Young Killer ameweza kushare nasi kupitia Instagram Yake.

download new HeAt song. Mkono wa mkonole ft toz wa mbagala_song shagala bagala

Image
 

sikiliza new heat song chidi_benzi feat diamond platnumz + a.y- paka kuchee

Image
 

Dully Sykes anakualika kusikiliza single yake mpya hapa inaitwa �Togola�

Image
Mara yake ya mwisho kusikika na single mpya kwenye Radio ilikua June 2013 na ilikua ni �Kabinti special� ambayo video yake ilionekana ndani ya muda mfupi sana toka iachiwe na hiyo ni kutokana na video hiyo kutajwa kwamba haijazingatia maadili ya Kitanzania kuonyeshwa hadharani. Sasa leo Dully anayofuraha kutualika kusikiliza single yake mpya inaitwa �Togola� ambayo baada ya kuisikiliza unaweza kuacha maoni yako kwenye comment hapa chini ili akipita baadae jioni asome kutoka wa watu wake.

Baada ya Davido kuambiwa anajionyesha na mali zake kwenye instagram..amejibu hivi.

Image
Msanii staa wa Nigeria Davido ni mtu ambae huwa anaonyesha kwenye mitandao vitu vingi anavyonunua mfano saa za Rolex za dhahabu, magari ya kifahari, nyumba na vitu vingine ambapo baada ya kuulizwa kuhusu ishu hii ya kupenda kuonyesha mali zake amejibu �sitoweza kusema kama ni kujionyesha kwa mali zangu, yale ni magari yangu, zile pesa zangu na pia ile ni page yangu� Sio lazima unifollow kwenye instagram wala kunifata kwenye mtandao wowote wa kijamii, ingekuwa tofauti sana kama nataka kujitangazia mali zangu basi ningetumia mabango ya barabarani lakini sifanyi hivyo. Unadhani ni sahihi kwa mastaa kuonyesha mali zao na pesa kama hivi kwenye mitandao ya kijamii? niachie comment yako hapa chini mtu wangu

Download music: 2melodies_song bagaju

Image
 

Download Young Killer Ft. Banana Zoro - Umebadilika

Image

Picha 9 za Rihanna akijiachia na wachezaji wa Ujerumani baada ya ushindi.

Image
Kwenye fainali ya kombe la dunia msanii Rihanna aliweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa Ujerumani tangu mechi inaanza. Rihanna alikuwa kwenye jukwaa la watazamaji akiwa na jezi ya Ujerumani na alionekana akishangilia sana baada ya goli lililoipa ushindi ujerumani likifungwa. Baada ya mechi kuisha Rihanna alijumuika pamoja na wachezaji wa Ujerumani kusherekea ubingwa mara baada ya mechi. Hizi ni picha zake akiwa na wachezaji wa nchi hiyo.

Kuhusu ushiriki wa Adam Kuambiana kwenye video ya Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz.

Image
Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye aliwahi kuhisi au kutegemea kama Marehemu Adam Kuambiana ambaye alikua muongozaji[Director] wa filamu nyingi za Kitanzania kumbe nae kashiriki kwenye video ya Mdogo Mdogo. Adam Kuambiana ambaye alifariki May 17 2014 wakati akiwa kambini kwa ajili ya filamu yake mpya ametajwa na Diamond kuhusika na utengenezaji wa Script[muongozo] wa video ya Mdogo Mdogo iliyotengenezwa South Africa na God Father. Diamond ameongea na XXL na kusema>>�Script wakati inaanza nilikua kama natamani nifanye kitu fulani lakini nilikua sijui naanzaje sasa nakumbuka kipindi hicho Adam Kuambiana walikuwa wana shoot na kuongoza movie ya wakina baby[Wema] mimi nilipokua naenda kambini nakutana naye� �Baby alinambia ni mzuri sana nikamfata nikamwambia nina nyimbo yangu nataka uniandikie stori wimbo wangu unaenda hivi na hivi akanambia ni vizuri nikifika studio niisikilize kwanza huo wimbo� �Nikawa nae studio nakumbuka nilikuwa nae studio kwa Tudd Thomas pale T...

Hii ndio sababu ya Katy Perry kushtakiwa na marapa wa nyimbo za Injili.

Image
Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani Katy Perry ameshtakiwa na marapa nyota wa nyimbo za Injili akiwemo mwanamuziki Flame ambaye amedai kuwa nyimbo ya Dark Horse ya Katy imeiba baadhi ya mistari kutoka kwenye nyimbo yao ya Joyful Noise. Wanamtuhumu Katy Perry kwa kutumia nyimbo yao iliyotoka mwaka 2008 waliyomshirikisha Lecrae bila ruhusa na kuharibu ujumbe wa kidini uliopo ndani ya nyimbo hiyo na kutumia picha za �kichawi� na nguvu za kidunia. Nyimbo ya Dark Horse iliongoza katika chati za muziki za Billboard kwa wiki kadhaa mwezi January. Kundi la marapa wa nyimbo za injili Flame aka Marcus Gray, Lecrae Moore, Emanuel Lambert na Chike Ojukwu wanataka kulipwa fidia na mwanamuziki huyo,, studio yake ya Capitol, na waandishi wa nyimbo Dr Luke na Max Martin kwa kuiba hakimiliki za wimbo wao.

New AUDIO | 2d kweli ft dullayo &millarn - mizuka tu! | Download

Image
  furahia nyimbo nzuri ya 2d kweli nyimbo ya mizuka tu  kwa maoni na ushari tupigie simu no +255 714 393 024

New AUDIO | shaa - subira | Download

Image
  furahia nyimbo nzuri ya shaa_tz  nyimbo ya subira iliyo fanyika katika studio za vibe record chini yake producer shirko asanten. kwa maoni na ushari tupigie simu no +255 714 393 024

Hatimaye video ya Kerewa ya @ShettaTz imefika huku.

Image
Moja ya malengo ya Shetta kwenda kufanya video nje ya Tanzania yameanza kutimia na kwa mara ya kwanza video ya Shetta imepata airtime kwenye kituo hiki. Video ya Shetta imetambulishwa kwenye kituo cha MTV Base kwenye kipindi maalum cha kutambulisha video mpya.

Hip hopper and hot new talent!

Image
Hip hopper and hot new talent!  Jun 29, 2014 Source: @IamInnocentN   Cassper Nyovest and Anatii have collaborated on a new, untitled track. The pair recently hit the studio to record                                                                                the song, which is set to drop next month. Tsholofelo July 31st @ CassperNyovest Follow Me and @ anatii got heat dropping next month. This one is gonna fuck up the clubs!!! Picture by : @ bashvision 11:14 AM - 25 Jun 2014 Copyright : MTV Base

bongo 5 wakamilisha tuzo za watu tazama hapa picha za jana kwenye tuzo hizo

Image
Burudani ikiendelea ndani ya Ukumbi uliopo Serena Hotel katika sherehe za utoaji wa Tuzo za watu Wadau wakifuatilia Tuzo za Watu Jimmy Kabwe akiendelea Kutangaza Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto) akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabeth Michael maarufu kama Lulu mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora wa Kike anayependwa. Salama Jabir akiiwa juu ya Steji kwaajili ya kukabidhi tuzo ya Muongozaji Bora wa Video anayependwa Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili Kutoka BBC Salim Kikeke akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wadau wake Faraja Kota Nyalandu (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mrs Mengi Kylin Wakurugenzi wa Bongo 5 Babu Tale akipokea tuzo ya Video bora Kwa Niaba ya Msanii Diamond Ambae hakuwepo katika Utoaji Tuzo hizo. Nyimbo ya My Number one ya Diamond Ndio Nyimbo inayopendwa Mustafa Hassanali (Kulia) akimkabidhi Mwakilishi wa Lady Jay Dee Tuzo ya Video Bora ya Yahaya Wa...