Posts

Showing posts with the label BONGO FLEVA

Diamond Platnumz: Nina mtoto mwingine mwanza tofauti na Tiffah.

Image
Hii inaweza ikawa ni habari mpya kutoka kwa Diamond Platnumz, inasemekana ana mtoto mwingine huko mwanza tofauti na Tiffa, hata hivyo inasemekana hata hajawahi kumuona huyo mtoto wake. Alipohojiwa na D�jaro arungu katika kipindi cha Papaso hivi karibuni, Diamond Platnumz amesema � Huyo mwanamke story ilivyokuwa alikuwa ametoka kwenye chumba cha brother Dully akaja kwangu mimi nikafanya yangu, mimi nikarudi huku mtoto akawa ananimbia �ebwana mimi nina mimba�.Basi ilivyokuwa mtoto �bana eeh mimi nina mimba� na mimi nikawa nachezesha nini nikawa namhudumia, huku na huku bahati mbaya nikaanza na demu fulani hivi kwahiyo demu mwenyewe akanimind, nikawa nampigia simu hapokei nikaenda Mwanza kumsakanya huku na huhu nasikia kwao wakanimind nikaonekana kama mimi nazingua�.Siku moja nikaenda nikambanabana �nikamwambia wewe una mtoto� akanikatalia kwasababu aliniambia ile mimba niliitoa nini, kumbe ni muongo. Nikaja nikamchunguza kumbe alikuwa amezaa na mtoto namuambia �nataka basi ...

NE HEAT SONG- D R C & Candle Vaggy ft Shab love . Pendo langu

Image

Listen/Download | Brand New Single:Shebby love - Wakati Umewadia

Image
  Wimbo wa msanii Shebby love ambao unahamasisha watu kujitokeza kumchagua kiongozi bora atakaye waongoza wananchi wa tanzania na kufanikisha kufika katika maendeleo na kuweka tija kwa taifa kwa ujumla sikiliza alicho kiimba msanii huyu wa bongo fleva hapa sasa.

NEW SONG DAYNA FT NAY WA MITEGO-NITULIZE

Image
 

DOWNLOAD NEW AUDIO SHEBBY LOVE FT BECKA TITLE- BAIKOKO

Image

DOWNLOAD |YOUNG KILLER FT FIDQ & BELLE9- 13

Image