Posts

Showing posts with the label MAPENZI

Mke Wa Mtu Afumaniwa Akingonoka Na Mume Wa Mtu

Image
  Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mtu yeye alijikuta akiiserebukia kwa fumanizi gesti, tena akiwa na mume wa mtu!    Tukio hilo lilijiri Alhamisi Kuu maeneo Buza jijini Dar, mishale ya saa 7:00 usiku huku jamii ikiwa katika harakati za kununua hiki na kile kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka iliyoadhimishwa duniani kote jana huku leo ikiwa ni Jumatatu ya Pasaka.   Katika fumanizi hilo, timbwili la aina yake liliibuka baada ya mwanamke huyo mwenye mwili mkubwa, kuponyoka mikononi mwa mke aliyemnasa na kutoka nduki nje akiwa mtupu bila kujali hali hiyo.   Awali, ilidaiwa kuwa mume huyo wa mtu aliyefahamika kwa jina la baba Somoe, mkazi wa Kongowe (nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam) alimchepuka mke wake (mama Somoe) na kuanzisha uhusiano na mwanamke huyo. Chanzo kikazidi kudai kwamba mkewe huyo alianza kutilia shaka mwenendo wa mumewe kutokana na kubadili ...

Wajivunia kuwa makahaba Australia

Hivi umeshawahi kujiuliza kwamba wafanyabiashara ya ngono ni watu wa namna gani? Ama biashara hiyo ni biashara kama biashara zingine kivipi? Nchini Australia,maelfu ya wafanyabiashara ya ngono bila soni wameweka bayana namna wanavyotumia mitandao ya kijamii na kuueleza ulimwengu jinsi wanavyo fanikisha biashara hiyo. Huwa hawachagui wateja,Mwanafunzi mwenzangu? Mwanasheria nimtakaye,mwanaharakati,binti yangu?dada yangu, mfanya biashara mwenzangu wa ngono? Familia yangu! Sihitaji msaada wao. Huo ni baadhi ya maelfu ya ujumbe kutoka nchini Australia kwa wafanya biashara ya ngono wanaojieleza huku wakitumia ukurasa wa #facesofprostitution hashtag.Fukuto hili lilianza tangu mwishoni mwa juma lililopita katika Instagram na mfanya biashara wa ngono mwenye umri wa miaka 21 ambaye ni mhitimu wa masuala ya Historia anayejulikana kama Tilly Lawless. Aliamua kuzungumzia blog moja iliyoamua kurudia kuweka kwenye ukurasa wake taarifa iliyorushwa wiki iliyopita katika ukurasa wa gazet...

Imegundulika Wadada Wamjini Hutumia Hizi Tight Kufanya Makalio Yao Kuwa Makubwa

Image
  Angalia Vizuri Picha ya Chini Huyu Mdada anaedaiwa kuwa na makalio makubwa Kenya Amevaa Tight ya Aina Hiyo Nyeusi ..Inasemakana Pia Hata Kina Agness Masogange Huvaa Tight Hizo ili Kubonyeza Makalio na Kuonekana Yametoka na Kuwa makubwa zaidi

Makalio ya Huyu Dada Balaa�.Masogange na Wengine Mtasubiri sana

Image
Matilda Hipsy &#100 and five;&#100 and fifteen; a prominent Ghanaian Video Vixen recognized for h&#one zero one;r huge endowment from behind an&#one hundred; sideways. the sweet girl flaunts her pure endowments well�.Are you brilliant &#ninety seven;&#100 and ten;&#a hundred; you wa&#a hundred and ten;t u&#one hundred fifteen; to characteristic you � ju&#100 and fifteen;t electronic mail me� The hips o&#one hundred ten; Hipsy tho�. you like

Akina Dada huu utaalamu utawacost sana: hivi inakuwajue unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

Image
  Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana�..nawashwa sana sehemu za siri (uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni fungus nikatumia dawa baada ya wiki tatizo likajirudia. Nimekuwa mtu wa kujikuna wakati wote. Ukeni panawaka moto kwa kujikuna, nimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo jingine . kila ninapofanya tendo la ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed. Kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo vya kansa lakini tatizo likazidi kuongezeka na sasa siwezi hata kufanya tendo la ndoa. madaktari ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e kuna wekundu mwingi sana badala ya rangi ya pink.  Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo imeshambuliwa na bacteria wasiosikia dawa. Wakajaribu kupeleka dawa sehemu iliyoathirika bado ikashindikana kuwaua! Baadae madaktari wa Muhimbili wakaniuliza ninavyofanya usafi katika sehemu zangu za siri na nikawambia ukweli kwamba,...

NIFANYAJE MAKALIO YANGU YASITINGISHIKE NIKIWA NATEMBEA?

Image
  Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi. Nimejaribu kuvaa pores and pores and skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii. Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.

MALAYA WANGU WA KWANZA

Image
My life in campus was quite eventful. Where most campus boys� lives were tied around their girlfriends: taking them to the salon, shopping, banks and all sorts of places that no sane man should be seen, I was busy doing very interesting research on the skin-business and building my first brothel. This is the reason why I was driving by third-year while most of them were still walking their girlfriends to Gikomba for underwear shopping. I have nothing against girlfriends. What I�m against is a girl thinking that she is better than any one of my whores because she fucks only one guy yet the guy takes her out, buys her gifts, spends money on her in order to fuck her. That sounds very much like whoring to me. Why a man would spend so much money on a used pussy (if you�ve lost your virginity your pussy is used) which has little or no game in the bed or the sofa or the carpet or the wall is beyond my imagination. Why a man would keep a girlfriend, who does not even give him a b...

BINTI ATEMBEZEWA KICHAPO NA MAMAKE BAADA YA KUWEKA PICHA ZA MITEGO FACEBOOK

Image
06 Aug 2014 Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla.Mama wa binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12.Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu kumchapa mwanae na wala haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.

HAYA NDIO MAUTUNDU YA KUFANYA KABLA YA KUSEX

Image
Ndoa ni safari ndefu ambayo inahitaji uvumilivu wa kila namna ili kuhakikisha kila mwanandoa anaifurahia safari hiyo.(Picha kwa hisani ya mitandao) Leo hii ndoa nyingi zimejaa majuto kutokana na wahusika kukosa uvumilivu katika safari hiyo na kuhisi kuwa pengine njia aliyopita siyo sahihi. Majuto ya safari hiyo yanatokana na mambo mengi, miongoni mwa hayo ni lugha mbaya kwa wanandoa, kumiliki visasi mioyoni mwao, kutosameheana, kushindwa kujishusha pindi mmoja anapokosa na kugundua kuwa yeye ndiye chanzo cha tatizo, kutoaminiana katika mahusiano yao ya ndoa, wivu uliopitiliza, kutoheshimiana nk. Safari ya ndoa ili iwe salama na yenye baraka tele, inahitahi kutoyaruhusu hata kidogo niliyoyaelezea hapo juu. Lakini silaha kubwa kuliko yote ni msamaha, suala la kusameheana kwa wanandoa ni dawa tosha ya kuondoa mikosi ya safari ya ndoa iliyojaa kila aina ya vizingiti. Pamoja na hayo jambo lingine ambalo nalo kwa namna moja ama nyingine limechangia kuzifanya ndoa nyi...

Hakika Uchungu wa Penzi Ni Zaidi Ya Mwiba Kwenye Mtima Wangu!!! Bofya Hapa

Image
Watu wengi hutoa machozi pale wanapoachwa na wapenzi wao, Mpenzi msomaji wa blogu yako uipendayo ya saikolojia leo nitakueleza kuhusiana na chozi la penzi: Unajua wataalamu wa mambo ya mapenzi wanasema kuwa Mwanamke ni mwepesi sana kutoa machozi pindi anapoachwa na mpenzi wake hii inatokana na mwanamke kuubwa na moyo wa kuwa na penzi la rohoni. Wataalamu wa mambo ya mahaba wanasema kuwa wanawake wameumbwa kwa penzi la rohoni yaani la ndani tofauti na wanaume, hii ndiyo inasababisha mwanake akiachwa na mpenzi wake hujisikia vibaya na kujiona kama hafai kabisa kwa mwanaume yoyote kitendo ambacho kinamfanya anatoa machozi kwa wingi sana.   Mwanaume kaumbwa kwa penzi la fikra kama wanavyotufahamisha wataalamu wa mapenzi hii ndiyo maana wanaume wengi ni vigumu sana kulia pale wanapoachwa na wapenzi wao japo wapo wanaolia lakini sio wengi japokuwa huwa wanaumia sana rohoni lakini kutokana na elementi walizoumbwa nazo inakuwa vigumu kutoa machozi. "Nakusihi uendelee kuburudi...

MALIKIA HUYU ANATAFUTA MCHUMBA ILA VIGEZO VYAKE NOMA SANAAAA! BOFYA UVIOUNE

Image
"Mimi ni Mariamu Masalalo, mkazi wa Mbezi Beach, Dar es salaam, Tanzania. Nina umri wa miaka 21 na nina elimu ya kidato cha Sita. Kwa sasa hivi ninasimamia biashara za baba yangu zilizopo maeneo ya Sinza  na Kariako, Dar es salaam. Mimi nina tatizo moja tu na ndiyo maana nikamtafuta mzee wa Tamutamu anisaidie kwa kuniunganisha na ninyi.....NINATAFUTA MPENZI AMBAYE HATIMAYE ATAKUWA MUME WANGU! Kama unataka kuniangalia, kunigeuza na kunichungulia kila eneo la mwili wangu vizuri, bofya hapo pembeni ama juu kwenye maneno yanayo badilika badilika. Kwa mfano maneno kama dounirodi au pleyi!  Niangalie kila eneo la mwili wangu utaona kuwa sina dosari kwani kauso kangu ni kazuri, nina shepu umbo namba nane, na pia chuchu zangu bado zimesimama kama binti anayevunja ungo. Uzuri na ubichi wangu huu unachangiwa na mimi kujitunza sana toka nilipoingia kwenye usichana! Kwa sifa za jikoni ndo usiseme kabisa kwa sababu ninauwezo wa kupika chakula cha aina yeyote na kikanoga mpaka m...

KWELI MAPENZI YANAUWA: SOMA KISA CHA HUYU BINTI

Image
niliolewa nikiwa na miaka 19 ni hadith ndefu naomba uchukuwe muda kuisoma, aliniona through Mimi nimeolewa miaka 8 iliyopita nna watoto watatu na mume wangu nnampenda na yeye ananipenda family friend akanipenda na mimi sikuona vibaya kuolea naye japo amenizidi umri kidogo nilikubali na kusema ndoa siyo jela ntajaribu nikishindwa ntarudi kwetu.