BINTI ATEMBEZEWA KICHAPO NA MAMAKE BAADA YA KUWEKA PICHA ZA MITEGO FACEBOOK

  • 06Aug2014
fd
Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla.Mama wa binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12.Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu kumchapa mwanae na wala
haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?