Posts

Showing posts with the label AFRICA STORY

Davido Karudisha Fadhila Kwa Manager Na Producer Wake,Hizi Ndio Zawadi Alizowanunulia.

Image
Star wa Nigeria ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwa show Africa Davido amewanunulia manager na producer wake zawadi ya gari za kifahari. Manager wake Kamal Ajiboye amepewa Mercedes 450 Gl na producer wake kapewa Porsch Cayenne.

Kutoka Instagram Za Mastaa,Jokate,Fidq,Diamond Na Wema Wapo #InstaBongo.

Image
Instagram ni mtandao unaokuweka karibu na watu maarufu unaowapenda na kuwafuatilia hapa bongo na nje pia, hizi instagram za mastaa wa bongo zilizotrend zaidi.            

Jibu La Sheta Alivyoulizwa Kuhusu Kufanya Kazi Na Ali Kiba,

Image
Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview na @sammisago. Swali> Sheta Unampango wa kufanya wimbo wa Ali Kiba Jibu [Sheta]> Sijafikiria kufanya kazi na Ali Kiba,Kwa sasa sina mpango wa kufanya wimbo na msanii wa nyumbani, naangalia International au nifanye wimbo mwenyewe, Swali> Tungependa kujua wasanii wa nje unaopanga kufanya nao kazi Jibu [Sheta]> Wako kama watano, uongozi unaangali yupi anafaa na atapatikana, siku tayari kusema majina sasa ila wimbo uko tayari.

Picha,Rich Mavoko Kwenye Utengenezwaji Wa Video Mpya�Toto Tundu�

Image
Msanii Rich Mavoko anafunga mwaka 2014 kwa kutoa video kwa kufululiza. Baada ya video yake �Pacha Wangu� kutoka,sasa anakuja na video nyingine ambayo amefanya na Adam Juma. Video itaitwa Toto Tundu. Kwenye video hii ameigiza kama Kichaa.    

Hii ndio Style aliyoamua kuisherehekea B12 wa Clouds Fm kwenye Birthday yake.

Image
. Kutoka Team XXL ya Clouds Fm July 22 amezaliwa Hamis Mandi aka B12 au B Bozen ambapo Jumanne ameamua kusherehekea siku yake huu muhimu kwa kufuturu na watoto yatima. Hii ni mara ya nne mastar wa Tanzania kufuturisha alianza Diamond,akafata Shilole kisha ikafuata futuru iliyoandaliwa na THT kisha Dr Cheni kwenye kusherehekea Birthday yake na sasa ni B12. picha zaidi bofya hapa

Alichoandika Peter wa P Square baada ya kuipotezea harusi ya kaka yake.

Image
Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana  kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake. Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.

Sentensi 4 alizoziongea Ally Kiba kuhusu Diamond Platnumz.

Image
Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki. Wengi wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango wowote wa kufanya kazi pamoja. Ally Kiba kapatikana na kuongea sentensi hizi 4. 1-�Mimi nipo okey sana� 2-�Sifikirii tu kuongea nae basi lakini nipo okey� 3-�Sijawahi kufikiria kwa sababu kuwa okey na mtu ni pamoja na kuzungumza kuwa karibu yaani sijawahi kufikiria� 4-�Mimi nipo okey na sina chuki,sana sana nampongeza sina chuki simaindi na nipo okey�. Bonyeza play kumsikiliza Ally Kiba

Walichokisema wazazi wa wasichana waliotekwa Nigeria.

Image
Wazazi wa wasichana waliotekwa nyara nchini Nigeria wamekanusha madai kuwa wanaingiza siasa kwenye kilio chao kuitaka serikali ya nchi hiyo iwaokoe watoto wao. Hii ni baada ya wazazi hao kukataa wito wa kukutana na rais Goodluck Jonathan hapo jana baada ya kushinikizwa na mwanaharakati mdogo kutoka Pakistan Malal Yousafzai. Rias Jonathan amesema ni aibu kubwa kwa wazazi hao kuruhusu kushinikizwa na mitandao ya kijamii hasa kutokana na kampeni yao kwenye mitandao yenye kauli mbiu, �Bring Back Our Girls�. Lakini msemaji wa wazazi hao, amesema kuwa walikataa kukutana na Rais kwa sababu jamii ya watu wa Chibok haikuwa imewapa ruhusa kufanya hivyo.

DIRECTOR KELVIN BOSCO ANATOZA ASLIMIA 10% YA WANACHOTOZA MA DIRECTOR WENGINE KUTOKA NCHINI KENYA

Image
Miaka ya karibuni wasanii wengi wa Tanzania wamekuwa wikienda kenya kufanya viedo zao na madirector kama Ogopa vedio's, na Enos Eric pamoja na Kelvin Bosco Alie fanya video ya Ay asante.  bofya hapa kusoma habari kamili

WASANII WAKUTANA KUJADILI MUZIKI WAO NA MAPATO KIUJUMLA TAZAMA HAPA

Image
  Pichani ni baadhi ya wasanii wakiwa katika mkutano huo  Mzee yussuf akiongea jambo ndani ya mkutano huo ulio jumuisha karibuni wasanii wote mastaa ndani ya Tanzania   Tunda Mani akiteta jambo na Dj Kwembe ni hali ya kubadilisha hili na lile kuwezesha muziki wa Tanzania kufikia Malengo.   Kulia ni mwakilishi kutoka Samsung ndug. chritina mosha na kushoto ni mtengeza muziki kutoka nchini marekani  Ditto wa THT na Aslay wa YA MOTO BAND wakisikiliza kwa makini zaidi.   BABU TALE  MENEJA WA TIP TOP CONNECTION NA MSANII DIAMOND.   Kulia pichani ni meneja wa Mzee yussuf Hance kiumbe akiwa na Msanii wa Bongo Fleva Nasseb Abdul (Diamond platinumz)   Mkutano ukiendelea ...  Mkurugenzi wa vipindi kutoka clouds media group kushoto (ruge mtahaba) akisema jambo na kulia ni mwakilishi kutoka samsung chritina mosha .  Young killah msodoki MKUTANO .