WASANII WAKUTANA KUJADILI MUZIKI WAO NA MAPATO KIUJUMLA TAZAMA HAPA

 Pichani ni baadhi ya wasanii wakiwa katika mkutano huo
 Mzee yussuf akiongea jambo ndani ya mkutano huo ulio jumuisha karibuni wasanii wote mastaa ndani ya Tanzania
 Tunda Mani akiteta jambo na Dj Kwembe ni hali ya kubadilisha hili na lile kuwezesha muziki wa Tanzania kufikia Malengo.
 Kulia ni mwakilishi kutoka Samsung ndug. chritina mosha na kushoto ni mtengeza muziki kutoka nchini marekani
 Ditto wa THT na Aslay wa YA MOTO BAND wakisikiliza kwa makini zaidi.
 BABU TALE
 MENEJA WA TIP TOP CONNECTION NA MSANII DIAMOND.
 Kulia pichani ni meneja wa Mzee yussuf Hance kiumbe akiwa na Msanii wa Bongo Fleva Nasseb Abdul (Diamond platinumz)
 Mkutano ukiendelea...
 Mkurugenzi wa vipindi kutoka clouds media group kushoto (ruge mtahaba) akisema jambo na kulia ni mwakilishi kutoka samsung chritina mosha.
 Young killah msodoki
MKUTANO.

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?