Posts

Showing posts with the label M.MEDIA PHOTOS

Mambo Ya Skylight Kishkwambi Amazing

Image
    Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba. Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake kulia ni Sam Mapenzi na kushoto ni Joniko Flower   Wakati Sam Mapenzi akiimba wimbo wa "All of Me" mdada huyu ulimgusa sana mpaka akashindwa kujizuia akaamua afanye ya kwake

Picha,Zari awaonyesha tumbo waliosema mimba ya kuigiza.

Image
 ZARI & DIAMOND PLATNUMZ Baada ya kuwa na uvumi kuwa mimba ya Zari ni kiki tu ,Boss lady huyu kutoka Uganda ameweka picha inayonyesha mabadiliko ya tumbo lake mpaka sasa.

Picha,Rich Mavoko Kwenye Utengenezwaji Wa Video Mpya�Toto Tundu�

Image
Msanii Rich Mavoko anafunga mwaka 2014 kwa kutoa video kwa kufululiza. Baada ya video yake �Pacha Wangu� kutoka,sasa anakuja na video nyingine ambayo amefanya na Adam Juma. Video itaitwa Toto Tundu. Kwenye video hii ameigiza kama Kichaa.