Picha,Rich Mavoko Kwenye Utengenezwaji Wa Video Mpya�Toto Tundu�

Msanii Rich Mavoko anafunga mwaka 2014 kwa kutoa video kwa kufululiza. Baada ya video yake �Pacha Wangu� kutoka,sasa anakuja na video nyingine ambayo amefanya na Adam Juma. Video itaitwa Toto Tundu.
Kwenye video hii ameigiza kama Kichaa.
rich 1

 rich 2

 rich 3

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?