Posts

Showing posts with the label MAJANGA

DENTI AIBIWA NGUO NA MPENZI WAKE AKIWA GESTI NA KUACHWA MTUPU....click

Image

MAJANGA: MKE WA KINGWENDU ABAKWA

Image
MKE  wa  Kingwendu  ambaye  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  za  vichekesho  nchini  amefanyiwa  kitendo  kibaya  cha  ubakaji  na  mwanaume  aliyefahamika  kama  Upunguvuku  katika  pagala  moja  huko  Mbagala  Kingugi  kwa  Kisauti. Mke  wa  Kingwendu  anayejulikana  zaidi  kwa  jina  la  mama  Maua, alikutwa  na  masahibu  hayo  Alhamisi  iliyopita  baada  ya  kuvamiwa  na  Upunguvuku  anayedaiwa  kuwa  alikuwa  amelewa  na  kuingizwa  kwenye  jumba  ambalo halijakamilika  kujengwa  lililopo  maeneo  ya  Kwa  Dunga    ambapo  wapita  njia  waliwafuma  na  kuanzisha  mtiti.... Shuhuda  wa  tukio  hilo...