Hii ndio Style aliyoamua kuisherehekea B12 wa Clouds Fm kwenye Birthday yake.

Kutoka Team XXL ya Clouds Fm July 22 amezaliwa Hamis Mandi aka B12 au B Bozen ambapo Jumanne ameamua kusherehekea siku yake huu muhimu kwa kufuturu na watoto yatima.
Hii ni mara ya nne mastar wa Tanzania kufuturisha alianza Diamond,akafata Shilole kisha ikafuata futuru iliyoandaliwa na THT kisha Dr Cheni kwenye kusherehekea Birthday yake na sasa ni B12.

100bdz


96bdz

95bdz

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?