Kinachoendelea eneo la Mkwajuni baada ya wananchi kufunga barabara..Picha
Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam, lakini safari hii wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara.
Wananchi hao waliamua kuchoma matairi katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka eneo la tukio.
Comments
Post a Comment