Picha Kutoka KTMA na washindi waliochukua Tuzo.



 














































Hii ni orodha nzima ya washindi wa KTMA 2015:
Mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume wa mwaka � Alikiba
Mwimbaji bora wa kike Bongo Flava ameshinda � Vanessa Mdee
Msanii bora wa kiume Taarab � Mzee Yusuph
Mwimbaji bora wa kike Taarab � Isha Mashauz
Mwimbaji bora wa kiume bendi � Jose Mara
Wimbo bora wa mwaka wa muziki wa Taarab � Mapenzi Hayana Dhamana � Isha Mashauzi
Wimbo bora wa mwaka � Mwana (Alikiba))
Wimbo bora wa Kiswahili bendi � Walewale (FM Academia)
Wimbo bora wa muziki wa R&B � Sisikii (Jux)
Wimbo bora wa Hip Hop � Kipi Sijasikia (Professor Jay)
Wimbo bora wa Reggae & Dance Hall � Let Them Know (Maua Sama)
Rapper bora wa mwaka, bendi � Ferguson
Msanii bora wa Hip Hop � Joh Makini
Wimbo bora wa Afrika Mashariki � Sura Yako (Sauti Sol)
Mtunzi bora wa mwaka, Taarab � Mzee Yusuph
Mtunzi bora wa mwaka, Bongo Flava � Alikiba
Mtunzi bora wa mwaka, bendi � Jose Mara
Msanii bora chipukizi � Baraka Da Prince
Mtunzi bora wa mwaka Hip Hop � Joh Makini
Bendi bora ya mwaka � FM Academia
Mtayarishaji bora wa nyimbo, Bongo Flava � Nahreel
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka, Taarab � Enrico
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka, bendi � Amoroso
Wwimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania � Mrisho Mpoto
Kikundi bora cha mwaka muziki wa Taarab � Jahazi Modern Taarab
Kikundi bora cha mwaka muziki wa Bongo Flava � Yamoto Band

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

Salman Khan wallpapers