Ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Wema Septu ambaye ni mpenzi a msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Wema amepokea zawadi mbali mbali kutoka kwa marafiki na Familia. Miongoni mwa zawadi zilizomshtua Wema ni kuletewa magari mawili likiwa moja kutoka kwa Diamond. Gari alilopewa Wema kutoka kwa Diamond ni
Nissan Murrano Nyeusi na nyingine BMW kutoka kwa mtu ambaye bado hajatajwa. Zawadi imeletwa kwa Wema na mama mzazi wa Diamond Platnumz. #HongeraWema Na HappyBday

mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Comments
Post a Comment