Hekaheka ya leo inamhusu muigizaji maarufu aliyesingiziwa mtoto. #Hekaheka

Single-Mtambalike-535
Hekaheka ya leo muigizaji maarufu Single Mtambalike maarufu kama Richie, ameelezea hekaheka yake ya kusingiziwa Mtoto na mwanamke kutoka Shinyanga ambaye alifika nyumbani kwake akiwa na mtoto mchanga na kudai ni mtoto wa msanii huyo.
Richie amesema wakati huo ndoa yake ilikuwa changa na mke wake alikuwa na mtoto mchanga kitendo ambacho kiliitikisa ndoa yake.
Jamaa anasema hakuwahi kumwona mwanamke huyo, hivyo baada ya kukasirishwa na kitendo hicho alijikuta akimpiga mwanamke huyo makofi.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Hapa unaweza kuisikiliza Hekaheka yote kwa kubonyeza play.

Comments

Popular posts from this blog

Where to get Free Games?

PES 2016 PS3 OPTION FILES