Picha,Huyu Ndio Jamaa Anayesema Atafunga Ndoa Na Dada Yake Diamond �Esma�

Meneja wa wasanii wa Endless Fame Petit Money ameweka wazikuwa taarifa zilizosamba ni za ukweli kuwa anamahusiano na dada yake Diamond Platnumz �Esma Platnumz� .
Petit amesema ana mapenzi ya ukweli kwa Esma na kwamba anampango wa kufunga naye ndoa. Petit ameongozea kuwa mpaka sasa Diamond hana tatizo nae kuwa na dada yake.
Haya Mapenzi yatadumu ?
PETIMANI 2 PETIMANI

Comments

Popular posts from this blog

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?

BREAKING NEWS: Former NPP chairman Jake Obetsebi Lamptey is DEAD