Blog ya Kenya Yasambaza Uongo Kuhusu Rais Maguguli Kwenda Kenya Kwa Mara ya Kwanza

Jaramongi Odinda na Fidel Odinga Jumamosi hii.
Inasikitisha kuona kwamba mwandishi wa Kenya anachukua nafasi ya Mwanhabari wa Rais wa Tanzania kwa kuwa na ratiba ya Mhe. Rais wa Tanzania kuliko waTanzania wenyewe.
Inasikitisha kuona kwamba mwandishi wa Kenya anachukua nafasi ya Mwanhabari wa Rais wa Tanzania kwa kuwa na ratiba ya Mhe. Rais wa Tanzania kuliko waTanzania wenyewe.
Haijulikani ni nini has nia ya mtandao huo, lakini ukweli ni kwamba ratiba hiyo ni batili na ya uongo uliotukuka. Hawa watani wetu wa jadi wana lao jambo!
Wapuuzeni. Taarifa hiyo si ya kweli.
Wapuuzeni. Taarifa hiyo si ya kweli.
Comments
Post a Comment