AJALI MBAYA SANA YATOKEA DA,YACHUKUA UHAI WA KIJANA MDOGO KELVIN KALOOSH

Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba huu Hasa wasanii na watu maarufu hapa mjini

Binafsi nimesikitika Sana ;

Mwendokasi unaua...
Usinywe pombe na kuendesha...
Usiendeshe huku ukituma sms...
Usiendeshe ukipapasa mwanamke mapaja...


RIP Kelvin Kaloosh

Comments

Popular posts from this blog

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?

BREAKING NEWS: Former NPP chairman Jake Obetsebi Lamptey is DEAD