
Mwanadada anasifika na kuwa maarufu sababu ya 'nundu, yake, Agnes Gerald aka Masogange alitupia picha kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa amekaa kwenye kochi sebureni na kutoa salamu zake za krisimasi kwa mashabiki wake kitendo ambacho kilisababsisha vidume wengi kupagawa na picha hizo na kujikuta wakiropoka maneno ya kizungu, mara , sexy, cute, amazing,beautiful....love you.....
Hebu jionee mwenyewe;
 |
Merry Christmass-Masogange aliandika |
Comments
Post a Comment