Picha: Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza


  • Picha:  Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza 1
  • Picha:  Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza 2
  • Picha:  Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza 3
  • Picha:  Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza 4
Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share nasi kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza ambako amekwenda kikazi zaidi.
Huu ndio ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA hapo jana. Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, Sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji wa rembo zaidi hapa Bongo.
Kwa upande wangu Irene ndio staa alitokelezea bomba zaidi kwa siku ya jana. Umependeza sana Uwoya.

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?