Taasisi ya Flaviana Matata imeendelea kutoa misaada kwa wanafunzi, 2015 wameanzia Bagamoyo (Pichaz)


flaviana-matata-2015
Mwanamitindo wa Tanzania ambaye anaishi na kufanya shughuli zake Marekani, Flaviana Matata ni mmoja ya mastaa ambao wanaendesha Foundation ambazo hutoa misaada mbalimbali ya kijamii.
Taasisi ya mwanamitindo huyo Flaviana Matata Foundation (FMF) imeanza kutoa misaada kama namna ya kusaidia kuboresha elimu katika shule, ambapo jana January 13 walitoa msaada wa vitu mbalimbali Shule ya Msingi Msinune iliyopo Bagamoyo katika ule mpango uliopo kwa taasisi hiyo kusaidia wanafunzi vitu mbalimbali ikiwemo mavazi, majengo, vyakula na vifaa vya shule.
Flaviana Matata III
Mwaka 2014 Taasisi ya FMF ilisaidia wtoto 3000 kwa kuwapatia vifaa vya kujifunzia ambapo mkakati wao mwaka huu ni kuendelea kutatua changamoto mbalimbali za wanafunzi kwa kuwapatia misaada mbalimbali katika mikoa ya Shinyanga, Lindi na Arusha.
Flaviana Matata IV
Flaviana Matata V
Flaviana Matatta II
flaviana-matata-2015
Kwa yeyote ambaye anahitaji kuwasilisha mchango wake kwenye Taasisi hiyo anaweza kuwasiliana nao kupitia;

Comments

Popular posts from this blog

Where to get Free Games?

PES 2016 PS3 OPTION FILES