Picha,Tattoo Ya Ngwea Na Geez Mabovu Kwenye Kifua Cha Dark Master

 
Rapper wakundi la Chemba Squad Dark Master ametengeneza kumbukumbu nyingine kwenye maisha yake kwa kujichora tattoo yenye majina ya marehemu Ngwea na Geez Mabovu.

Akiwa ni member wa kundi alilokuwa Ngwea na mtu wa karibu wa Geez Mabovu Dark Master anasema hii misiba miwili ni pigo kubwa kwenye maisha yake.

 

Comments

Popular posts from this blog

Where to get Free Games?

PES 2016 PS3 OPTION FILES