Rapper Big Sean Ajiunga Na Roc Nation Ya Jay Z Baada Ya Meek Mil Kujitoa.

Mtandao wa record lebel ya Jay Z �Roc Nation� umetoa taarifa kuwa rapper Big Sean ndio msanii wao mpya aliyejiunga na record lebel hio. big
Big Sean alikuwa member wa familia ya Good Music ya Kanye West ambayo ndio iliyomtoa na alikuwa akisimamiwa na Kevin Liles kupitia KWL Enterprises. Big Sean ametangaza kuhamia Roc Nation wiki chache tuu baada ya Meek Mil kutengana na kampuni hio na kwa sasa Big Sean amejiunga kwenye usimamizi moja na wasanii kama Rihanna, Jay Z, Meek Mil, Timbaland, Dj Mustard, Kanye West,Shakira na Melanie Fiona.

mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

Comments

Popular posts from this blog

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?

BREAKING NEWS: Former NPP chairman Jake Obetsebi Lamptey is DEAD