PRODUCER SALIMU TOUCH ASAKA WASANII WA LABER KWENYE STUDIO YAKE MPYA (ZIKO RECORDS)
Producer Salimu touch afungua studio mpya ya ziko music ambayo kwa sasa studio hii inatafuta vijana sita wenye uwezo wa kuimba ama ku rap ili kuweza kungana nao katika utarishani na upishi wa nyimbo ambazo ziko music laber zitakuwa ziki simamia nyimbo hizo
kama wewe ni kijana ambae una kipaji cha kuimba na unahisi unataka kufika mbali na kipaji uacho basi hainabudi kuwa siliana nao kwa simu no +255718765562 {salimu touch} studio ipo maeneo ya ubungo-rombo
Producer Salim Touch
Comments
Post a Comment