JAJA,MSUVA KUNG'AA KWENYE MECHI YA NGAO YA JAMII UWANJA WA TAIFA LEO
Jaja aliingia �mzima mzima� pembezoni mwa lango la Thika kuhakikisha anaiunganishia nyavuni krosi ya Msuva kwa vyovyote na akafanikiwa akimuacha kipa Mganda, Hamza Muwonge anaokota mpira nyavuni.Kwa furaha ya bao hilo, Jaja ambaye alikuwa akizomewa na mashabiki wa Simba SC kila alipokosea alitoka nje ya Uwanja kushangilia bao hilo, kwa shangwe za aina zote alizoweza.Yanga SC haikucheza vizuri kipindi cha kwanza na zaidi ilitegemea kupitisha mashambulizi yake pembeni walipokuwa wakiteleza kwa awamu Simon Msuva, Haruna Niyonzima na Andrey Coutinho.Coutinho alikaribia kufunga mara mbili kwa mipira ya adhabu aliyopiga kutoka nje kidogo ya eneo la penalti, wakati Jaja hakuwa na madhara kabisa kipindi cha kwanza.Nafasi nzuri zaidi kwa Thika ilikuwa dakika ya 20 wakati shuti la Moses Odhiambo lilipodakwa na kipa Deo Munishi �Dida�- zaidi ya hapo, safu ya ulinzi ya Yanga SC leo ilicheza vizuri.Kipindi cha pili, kocha Mbrazil Marcio Maximo alianza na mabadiliko katika safu ya kiungo akimpumzisha Hassan Dilunga na kumuingiza Hamisi Thabit, ambaye alikwenda kuibadilisha timu.

Simon Msuva
Mchezaji jaja kutoka kwenye timu ya yanga footbal club awa mchezaji nyota baada ya kuichapa timu ya rambramba Azam Fc bao mbili yeye mwenyewe uku baadae mchezeji Nyota wa Yanga Fc Simon Msuva kutundika bao la mwisho yani la tatu kwa wapinzani wao hao

mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Comments
Post a Comment