HOFU YA TANDA SOKO LA FILAMU TANZANIA SOMA HII


 
 Msanii wa filamu Tanzania Hussein Kambangwa atunikiwa cheti cha ushiriki wa filamu ya rasimu ya katiba.Msanii huyu amendelea kung'aa zaidi katika soko la fimalu tanzania kwa jinsi anavyo cheza. Pia kwa sasa msanii huyu amekuwa nuru kwani kuna baadhi ya wasanii wakubwa amekuwa akifanya nao kazi kama Director kati ya filamu alizo directi hii ni moja wapo ambayo imetoka wiki mbili zilizo pita (KIMBUNGA) na nyinginezo nyingi tu.
Pichani ni Msanii Kambangwa Akihojiwa na moja ya kituo mama cha matangazo nchini Tanzania Clouds Fm/Tv
mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

Comments

Popular posts from this blog

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?

BREAKING NEWS: Former NPP chairman Jake Obetsebi Lamptey is DEAD