Unaambiwa Man United wamekamilisha usajili mwingine wa huyu Muargentina.

IMG_6524.JPG
Baada ya usajili wa Ander Herrera na Luke Shaw, Manchester United wamekamilisha usajili wa mchezaji mwingine ambae ni Marcos Rojo, beki wa kiargentina aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Sporting Lisbon.
Rojo ambaye alichaguliwa katika kikosi bora cha kombe la dunia, amejiunga na United kwa ada ya uhamisho wa �16 pamoja na Luis Nani kwenda Sporting kwa mkopo ambapo pia Manchester United wanaripotiwa kuhamishia nguvu zao kwa Angel di Maria wa Real Madrid.

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?