PEDESHEE LAUMBUKA BAADA YA PICHA ZAKE NA KIMADA KUZAGAA MTANDAONI


Wapenzi hawa ambao majina yao ilikua ngumu kidogo kupatikana mara moja picha zao zinadhurura mtandaoni bila wao kujua. Lakini haupaswi kutazama kwa makini kiivo kujua walipiga kwa ridhaa yao kwani wanaonekana kabisa wakichekelea huku jamaa akiwa kaishikilia simu wakijipiga kutoka katika camera ya simu hiyo kupitia kioo cha dressing table as you can see...!
Hizi tabia inabidi zikomeshwe mara moja kwani ni kinyume na maadili ya kitanzania...BADILIKENI JAMANI!


BATA BATANI, LAKINI KUMBUKA UKIMWI UPO NA UNAUA. SIKIA KENGELE, TULIA NA WAKO!

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?