Inasemekana Hii Ndio Couple Mpya Ya Mastaa Duniani.
Jennifer Lawrence Na Chris Martin
Vyanzo vingi vimeripoti kuwa tayari mashabiki wa watu hawa maarufu wamejumuisha majina yao na kuanza kuwaita �Martin Lawrence� . Ndoa ya Chris Martin ambaye ni rafiki wa karibu wa familia ya The Carters [Jay z Na Beyonce] ilivunjika miezi michache nyuma.
Comments
Post a Comment