Star mwingine kutoka Tanzania ambaye page ya Facebook imekuwa verified

hasheeeeeemAlama ya verified ndio inatambulisha ukurasa halali wa mtumiaji kwenye mitandao mingi sana. Alama hii ni muhimu sana hasa kwa watu maarufu wanaotumia mitandao ili kuepuka kuwepo kwa kurasa feki ambazo haziwahusu.
Hivi sasa mtu maarufu ambaye page yake ya facebook imekuwa verified ni mchezaji wa kikapu kwenye timu ya Oklahoma City Thunders �Hasheem Thabeet�. Ukurasa wake wa twitter ulikuwa verified siku nyingi na hivi sasa mashabiki wake wa facebook watakuwa na uhakika kwasababu na facebook wame-verify ukurasa wake.
hashee

Comments

Popular posts from this blog

Building your mental toolbox for solving coding problems

WADAU HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHAKA KWA BINTI HUYU?