Mabibi na mabwana zile video mbili alizoahidi Diamond kuzitoa leo zipo hapa.
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.
Hii ni video ya Bum Bum.
Hii ni video ya Mdogo Mdogo.
Comments
Post a Comment