Posts

PEDESHE AAPA KUVUNJA UCHUMBA WA DIDA

Image
Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija Shaibu �Dida� mara tu baada ya kutangaza kuvalishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mwanaume ambaye hakutaka kumuanika.   Habari kutoka kwa chanzo chetu makini zilieleza kwamba, pedeshee huyo amekuwa akimpa Dida vitisho kuwa mwanaume ambaye atamuoa hatakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yake hivyo anaamini yeye ndiye anayeweza kumpa chochote anachotaka na si mwingine. �Jamaa anajitapa hata kwa baadhi ya ndugu wa Dida kuwa mwanaume ambaye anataka kumuoa Dida hana vigezo vya kuweza kutatua matatizo yake hivyo yeye yupo tayari kuvunja uchumba huo kwa gharama yoyote,� kilisema chanzo hicho. Baada ya kunyetishiwa �ubuyu� huo, gazeti hili lilimtafuta mtangazaji huyo kwa njia ya simu ambapo alikiri kujitokeza kwa mwanaume huyo lakini alisema kuwa mwanaume anayemuoa anaweza kukidhi mahitaji yake. �Mchumba wangu ni mtu mwenye maisha yake wala si mbabaishaji kama baadhi ya wat...

Hivi Ndivyo Staa Diaomond Akiwa na Amma Tiffah Pamoja na Dada Zake Walivyosherekea BOXING DAY>>>>picha zaidi ya 8 hapa>

Image
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI <<NEXT 1>> <<NEXT 2>> <<NEXT 3>> <<NEXT 4>> <<NEXT 5>>

DAH AISEE ZARI KAKWIVA BALAA JIONEE PICHA HIZI NDIO NA JINSI ALIVYOKUWA KAJIACHIA KIMAKUSUDI DUH W@KUBW@ W@N@F@IDI>

Image
YOUR COMMENT SHARE WITH US <<NEXT 1>> <<NEXT 2>> <<NEXT 3>> <<NEXT 4>> <<NEXT 5>>

ALI KIBA AWAGONGANISHA JOKETI NA WEMA JUKWAANI NA MIKUMBATIO YA KUFA MTU DUH TAZAMA HUMU ILIVYOKUWA>

Image
<<NEXT 1>> <<NEXT 2>> <<NEXT 3>> <<NEXT 4>> <<NEXT 5>>

HAHAHA PICHA LANOGA SASA WEMA ACHOMBEZA MANENO KUHUSU KIBA NA KUFANYA UPANDE WAPILI WAVIMBE NUSURA KUPASUKA MMH HEBU JIONEE >>>

Image
  <<NEXT 1>> <<NEXT 2>> <<NEXT 3>> <<NEXT 4>> <<NEXT 5>>

Picha za Alikiba kwenye stage ufukweni alivyouaga mwaka 2015�

Image
December 26 2015 stage ya Escape One , Mikocheni Dar es Salaam wakazi wa 88.5  walishuhudia Alikiba  akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye ujio wake mzito wa 2015. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika show hiyo zitazame hapa . . . . . .. . . . . . . <<NEXT 1>> <<NEXT 2>> <<NEXT 3>> <<NEXT 4>> <<NEXT 5>>

Edward Lowassa Atimkia Monduli Kwenda Kuchanga Ng'ombe Kijijini Baada ya Kukosa Urais 2015

Image
Picha za Lowassa Asubuhi ya Leo zimezagaa Mitandaoni zikionyesha akichunga ng'ombe kijijini kitendo ambacho kimezua gumzo kutokana na kauli yake aliyoitoa wakati wa uchaguzi kuwa akishindwa atarudi kijijini kwao kuchanga...... Je ndio ameamua kutimiza ahadi yake ama anatafuta kiki tu.... <<NEXT 1>> <<NEXT 2>> <<NEXT 3>> <<NEXT 4>> <<NEXT 5>>