Kundi la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia rasmi audio ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond Platnmuz. Katika wimbo huo uitwao �Alive� ambao video yake imefanywa wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini, ameshirikishwa pia msanii wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage.